Mogavero LTD inafanya kazi katika soko la fifaa vya ujenzi, haswa mchanga, kifusi au kokoto. Tunakundi la magari yetu pamoja na mengine kutoka kwa washirika wa kisasa, ambayo kilamara huwekwa kati hali bora kutuhakikishia huduma bora zaidi na kuepuka ucheleweshaji wowote.
Tunaweza kuuza nyenzo moja kwa moja kwenye tovuti au kuwasilisha kwa mteja.
Uwezo wetu wakusafirisha unaweza kupanda zaidi ya tani 200 kwa siku kulingana na hatuwa na nyakati za kuwasilisha.
Kujenga Kenya
Nguvu zetu
Nguvu zetu ni nguvu na uwezo wa kukidhi mahitaji ya mteja kwa mda mfupi sana.